Posted on: September 5th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Bi. Shamim Mwariko anawakaribisha wananchi wote kuupokea Mwenge wa Uhuru Tarehe 9 September 2024 Siku ya juma Tatu Eneo la Mirumba Kata ya Kibao...
Posted on: September 26th, 2024
Katibu tawala wa mkoa wa Katavi ndugu Albert Gabriel Msovela amewawakumbusha watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe kutambua majukumu yao na kuyatekeleza kwa weledi.
Ameyasema hayo siku ya J...