Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Pichani mstari wa kwanza na pili Wakifuatilia hotuba ya Mh.Naibu Waziri wa Sheria na Katiba leo Tarehe 31 Dec. 2020 Aidha Waheshimiwa Madiwani walimpongeza Mh. Naibu Waziri kwa ushindi mkubwa alioupata katika uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020 na pia kwa kuaminiwa na Mh. Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa kumteua kuwa Naibu Waziri wa Sheria na Katiba.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa