Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe anapenda kuwajulisha wananchi wote wa Mpimbwe kuwa Uzinduzi wa Baraza Jipya la Madiwani litafanyika siku ya Alhamis tarehe 17-12-2020, kuanzia saa 4:00 kamili asubihi hivyo wananchi wote mnakaribishwa.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa