Mh. Mkuu wa Mkoa akizungumza na Wakulima na kutoa ufafanuzi kuhusiana na mfumo mpya wa Stakabadhi Ghalani wakati wa uzinduzi wa mnada wa Stakabadhi Ghalani tarehe 18/05/2020 uliofanyika katika Magodauni yaliyopo kata ya Mwamapuli, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa