Makabidhiano ya hati ya umiliki wa Majengo na ardhi kwa ajili ya Chuo kikuu cha Kilimo SUA ambapo Makabhiano hayo yamefanywa Kati ya Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mizengo Pinda na uongozi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) chini ya Mkuu wa chuo Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba na Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho ambaye ni Jaji Mstaafu Othman Chande. Makabidhiano hayo yameshududiwa na Wakuu wa mikoa ya 8 wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Zubery Homera. Mgeni rasimi aliye shuhudia makabidhiano hayo ni Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Professor Joyce Ndalichako.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa