Wakuu wa idara na Vitengo, Wakuu wa vituo vya Kutolea huduma , pamoja na Budget Officers wakifuatilia kwa umakini mkubwa Mafunzo ya Mfumo wa Planrep iliyoboreshwa , Mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo wataalamu wa Halmashauri katika kuandaa Mpango na Bajeti, Mafunzo haya yamefanyika katika Ukumbi wa Kapalalale kuanzia tarehe 28 - 12 - 2018 hadi tarehe 29-12-2018
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa