Mkuu wa Wilaya ya Mlele Majid Mwanga na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe Shamimu Mwariko wakiwa kwenye Pikipiki wakiendesha wakielekea katika kitongoji Cha Ngwiro Kijiji cha ilalangulu kata ya Kibaoni kusaka KERO za Wananchi.
Mkuu huyo amesema iwe Jua ama Mvua,iwe matope ama mchanga,iwe mabonde ama tambalale KERO za Wananchi zitatatuliwa .
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa