Saturday 2nd, November 2024
@
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe anapenda kuwajulisha na kuwaalika wananchi wote Kushiriki katika mbio za Mwenge wa Uhuru utakao kimbizwa kuanzia tarehe 11-4-2019, wananchi wote mnakaribishwa kushiriki katika zoezi hilo muhimu.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa