Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, anawatangazia Wananchi wote wenye sifa za kuomba kazi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja la III (VILLAGE EXECUTIVE III). KUONA IDADI YA NAFASI ZILIZOTANGAZWA BOFYA HAPO TANGAZO LA KAZI ZA UTENDAJI WA KIJIJI OKTOBA.pdf
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa