• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Anuani za watumishi |
Mpimbwe District Council
Mpimbwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi na Mali asili
      • Kilimo , Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kazi na zima Moto
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mazingira na usafi
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • ufugaji wa nyuki
      • TEHAMA na Habari
      • Ugavi na ununuzi
    • Sehemu
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Hatua
    • Taarifa
    • Sheria
      • sheria ndogo
    • Fomu ya Maombi
      • Mkataba
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Mpya
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Matukio
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyopangwa

Ukaguzi wa ndani

MALENGO

Kupitia  uhalali na usahihi wa taarifa za Fedha na utendaji wake,na namna taarifa    hizo zilivyopatikana;

a) Kupitia na kutoa taarifa juu ya udhibiti wa makusanyo utunzaji na matumizi ya rasilimali fedha za Halmashauri.

b)   Kupitia na kutoa taarifa juu ya kufuatwa kwa taratibu za fedha zilizowekwa, sheria maagizo na taratibu za kihasibu zinazotolewa na Waziri katika nyakati mbalimbali ili kuwepo kwa matumizi mazuri ya fedha.

c) Kupitia na kutoa taarifa juu ya usahihi wa mpangilio na mgawanyo wa mapato na matumizi ya akaunti.

d) Kupitia na kutoa taarifa juu ya usahihi na uaminifu wa takwimu za fedha zilizotumika katika kuandaa taarifa za fedha na taarifa nyingine.

e) Kupitia na kutoa taarifa juu ya mifumo iliyopo inayotumika kutunza mali.

Mkaguzi wa ndani anapaswa kuhakiki na kutathmini taarifa za mwisho za  Fedha ,kupima mfumo wa udhibiti wa Fedha ufanisi wake katika Fedha za umma kama ilivyoainishwa katika muongozo wa taaluma wa kimataifa(IPPF) ,fungu namba 2130 la ukaguzi wa ndani kwa kupitia yafuatayo:

a) Mfumo wa udhibiti wa ndani.

b) Uwasilishwaji wa taarifa zote za Fedha

c) Utoaji wa taarifa za Fedha unakidhi misingi ya uhasibu

d) Uthibitisho wa rasimali na madeni ya halmashauri unaambatana na ushaidi wa nyaraka.

e) Rasilimali,madeni,mapato na matumizi yanawasishwa kwa ushihi kwenye taarifa za Fedha

f) Rasilimali na madeni yaliyoripotiwa yanamilikiwa na halmashauri

g) Ukamilifu wa taarifa za Fedha za halmashauri wa kipindi husika

h) Usahihi wa upimaji na tathmini ya taarifa za rasilimali,madeni,mapato na matumizi

i) Uhakiki wa nyaraka za Fedha.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kazini January 08, 2018
  • Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili November 23, 2017
  • Tangazo la Kazi October 19, 2017
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI October 01, 2017
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • Kituo Cha Afya Usevya kimepokea Gari Mpya ya Kubeba Wagonjwa (Ambulance)

    March 31, 2018
  • Baraza la Madiwani Wakifuatilia Kwa Umakini Rasimu ya Mpango na Bajeti ya Mwaka 2018/2019

    January 11, 2018
  • Mh. Dr. Kikwembe Mbunge wa Jimbo la Kavuu asisitiza umoja na ushirikianao katika kufikia Maendeleo yaliyokusudiwa

    January 11, 2018
  • Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe akishiriki siku ya Mazingira Duniani

    November 30, 2017
  • Angalia yote

Video

Vivutio Vya Watali katika Hifadhi ya Taifa Katavi
Video Zaidi

Kiungo cha Haraka

  • Mpimbwe A Conservation and Development Project
  • Mkoa wa katavi
  • Revenue collection dashboard for Katavi Region

Kurasa za Karibu

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI
  • OR-TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya

    Sanduku la Posta: 245

    Telephone: +225754332772

    Mobile: 0754332772

    Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa